Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv
  • 11 992
  • 76 371 922
Mamia wapatiwa Msaada wa Kisheria bure Nanenane - Dodoma
Mamia ya Wananchi wa Dodoma na Mikoa ya Jirani wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za msaada wa kisheria zinazoendelea kutolewa na Serikali kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid katika viwanja vya maonesho ya nanenane Nzuguni Jijini Dodoma.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo tarehe 5 Agosti 2024; kwenye banda la Wizara ya Katiba na Sheria lililopo kwenye viwanja hivyo Wananchi hao wamempongeza Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa huduma hiyo ambayo inatolewa bure kwa Wananchi wasikuwa na uwezo wa kumudu gharama za mawakili kwenye masuala mbalimbali ya kisheria.
Bi. Uwezo Maulid mkazi wa Mkoani Shinganya amesema “nimekuja hapa nimesaidiwa katika jambo langu la mirathi huku Bi. Renatha Manda akimshukuru Rais Dkt. Samia kuwezesha huduma hiyo kutolewa bure kwa Wananchi pamoja na Bw. Lusian Mwanitu ambaye ameomba huduma zinazotolewa na Mama Samia legal Aid Campaigh zipelekwa kwa watu wengi zaidi hasa wanaoishi vijijni.
Переглядів: 56

Відео

Huduma za Msaada wa Kisheria zinatolewa bure nane, nane - Dodoma, Wananchi changamkieni fursa
Переглядів 824 години тому
Huduma za Msaada wa Kisheria zinatolewa bure nane, nane - Dodoma, Wananchi changamkieni fursa Wananchi wa Mkoa wa Dodoma na maeneo ya Jirani wametakiwa kuchangamkia fursa ya huduma za msaada wa kisheria zinazotolewa bure na Serikali kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid kwenye banda la Wizara ya Katiba na Sheria lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Nane Nane Nzuguni Jijini Dodoma. Akizungu...
RAIS SAMIA AFUNGUKA MAZITO KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE MORO
Переглядів 1664 години тому
RAIS SAMIA AFUNGUKA MAZITO KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE MORO
TAHARUKI KUPOTEA KWA MTOTO DAR MAJIRANI WATOBOA CHANZO CHA MTOTO KUPOTEA "POLISI INGILIENI KATI"
Переглядів 1277 годин тому
TAHARUKI KUPOTEA KWA MTOTO DAR MAJIRANI WATOBOA CHANZO CHA MTOTO KUPOTEA "POLISI INGILIENI KATI"
"Ushindi wa Mwabukusi una Udafanyifu mkubwa 'Wakili Nkuba atangaza kupinga matokeo hayo Mahakamani
Переглядів 1877 годин тому
"Ushindi wa Mwabukusi una Udafanyifu mkubwa 'Wakili Nkuba atangaza kupinga matokeo hayo Mahakamani Mgombea wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Wakili Sweetbert Nkuba ametangaza kukata rufaa kupinga matokeo yaliyotangazwa na kamati ya uchaguzi na kumpa ushindi Wakili Boniface Mwabukusi Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma amesema “Jambo la kwanza s...
TUNDU LISSU ATEMA NYONGO MKUTANO MKUU TLS
Переглядів 1777 годин тому
🔴Live: KIVUMBI UCHAGUZI TLS, MATOKEO YANATANGAZWA, WASHINDI HAWA HAWA HAPA
MWABUKUSI AANZA KUTEMA CHECHE BAADA YA KUSHINDA URAIS TLS
Переглядів 777 годин тому
MWABUKUSI AANZA KUTEMA CHECHE BAADA YA KUSHINDA URAIS TLS
MWANZO - MWISHO MWABUKUSI ALIVYOTANGAZWA MSHINDI URAIS UCHAGUZI TLS
Переглядів 527 годин тому
MWANZO - MWISHO MWABUKUSI ALIVYOTANGAZWA MSHINDI URAIS UCHAGUZI TLS
INASIKITISHA! MAMA ASIMULIA KWA UCHUNGU MTOTO WAKE ALIVYOPOTEA
Переглядів 1197 годин тому
INASIKITISHA! MAMA ASIMULIA KWA UCHUNGU MTOTO WAKE ALIVYOPOTEA
LISSU Atua kwenye Uchaguzi TLS I Atema cheche Akitaja Rais Anayetakiwa
Переглядів 5249 годин тому
LISSU Atua kwenye Uchaguzi TLS I Atema cheche Akitaja Rais Anayetakiwa
TANZANIA YAPATA USD TRILIONI 2 3 KWA KUUZA MATUNDA, KUNDE NJE YA NCHI
Переглядів 4012 годин тому
TANZANIA YAPATA USD TRILIONI 2 3 KWA KUUZA MATUNDA, KUNDE NJE YA NCHI
RAIS SAMIA ASIMULIA TUKIO ALILOWAHI KUKUMBANA NALO KWENYE TRENI
Переглядів 5612 годин тому
RAIS SAMIA ASIMULIA TUKIO ALILOWAHI KUKUMBANA NALO KWENYE TRENI
WAFANYABIASHARA KUPELEKA BIDHAA ZANZIBAR BILA KODI KWA SIKU 7, RAIS MWINYI KUJIONEA
Переглядів 20812 годин тому
WAFANYABIASHARA KUPELEKA BIDHAA ZANZIBAR BILA KODI KWA SIKU 7, RAIS MWINYI KUJIONEA
AKAMATWA AKIFANYA BIASHARA YA KUBADILISHA FEDHA BILA KIBALI.
Переглядів 44314 годин тому
AKAMATWA AKIFANYA BIASHARA YA KUBADILISHA FEDHA BILA KIBALI.
RC Chalamila AFUNGUKA walimu 1000 Wamuunga Mkono Rais Samia
Переглядів 13716 годин тому
RC Chalamila AFUNGUKA walimu 1000 Wamuunga Mkono Rais Samia
MZEE MPILI AKATAA MANARA NA ALLY KAMWE KUZUNGUMZIA I HATUTAKI MANENO CHUPLI CHUPLI YA KIPUMBAVU
Переглядів 8716 годин тому
MZEE MPILI AKATAA MANARA NA ALLY KAMWE KUZUNGUMZIA I HATUTAKI MANENO CHUPLI CHUPLI YA KIPUMBAVU
KINANA AJIUZULU CCM I RAIS SAMIA AMKUBALIA KWA MOYO MZITO
Переглядів 34116 годин тому
KINANA AJIUZULU CCM I RAIS SAMIA AMKUBALIA KWA MOYO MZITO
MANARA AANZA KUWAKERA SIMBA I KOLO AMENIPIGIA SIMU ANAOMBA MECHI ISOGEZWE MBELE.
Переглядів 5119 годин тому
MANARA AANZA KUWAKERA SIMBA I KOLO AMENIPIGIA SIMU ANAOMBA MECHI ISOGEZWE MBELE.
MCHUNGAJI ATOA TAMKO KUHUSU GEN Z I WASIKILIZWE, WASHAURIWE KWA HEKIMA
Переглядів 2119 годин тому
MCHUNGAJI ATOA TAMKO KUHUSU GEN Z I WASIKILIZWE, WASHAURIWE KWA HEKIMA
MANARA NA ALLY KAMWE WAIBUKA PAMOJA KWENYE MKUTANO I WATAFANYA KAZI PAMOJA YANGA??
Переглядів 15719 годин тому
MANARA NA ALLY KAMWE WAIBUKA PAMOJA KWENYE MKUTANO I WATAFANYA KAZI PAMOJA YANGA??
WAZIRI NDEJEMBI AANZA KUTEMA CHECHE WIZARA YA ARDHI ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA WATENDAJI
Переглядів 29421 годину тому
WAZIRI NDEJEMBI AANZA KUTEMA CHECHE WIZARA YA ARDHI ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA WATENDAJI
WATOTO WALIOTEKWA ARUSHA WAKIENDA SHULE MAMA YAO ASIMULIA "SHULE HAWAKUFIKA NA NYUMBANI HAWAKURUDI"
Переглядів 360День тому
WATOTO WALIOTEKWA ARUSHA WAKIENDA SHULE MAMA YAO ASIMULIA "SHULE HAWAKUFIKA NA NYUMBANI HAWAKURUDI"
TUNDU LISSU AWASHAMBULIA NAPE na MAKAMBA KUFUKUZWA UWAZIRI "WANAISHI KWA MAJINA YA BABA ZAO.
Переглядів 293День тому
TUNDU LISSU AWASHAMBULIA NAPE na MAKAMBA KUFUKUZWA UWAZIRI "WANAISHI KWA MAJINA YA BABA ZAO.
TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS 2025, ASEMA RAIS SAMIA SIO MGUMU KAMA MAGUFULI
Переглядів 2,1 тис.День тому
TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS 2025, ASEMA RAIS SAMIA SIO MGUMU KAMA MAGUFULI
MAWAKILI WA MWABUKUSI WATOA TAMKO ZITO BAADA YA KUSHINDA KESI KUGOMBEA URAIS TLS
Переглядів 277День тому
MAWAKILI WA MWABUKUSI WATOA TAMKO ZITO BAADA YA KUSHINDA KESI KUGOMBEA URAIS TLS
WAKILI MWABUKUSI ATEMA CHECHE BAADA YA KUSHINDA KESI KUGOMBEA URAIS TLS
Переглядів 489День тому
WAKILI MWABUKUSI ATEMA CHECHE BAADA YA KUSHINDA KESI KUGOMBEA URAIS TLS
AMUUA MPENZI WAKE NAYE AJARIBU KUJIUA KWA KUJICHOMA NA KISU SHINGONI
Переглядів 425День тому
AMUUA MPENZI WAKE NAYE AJARIBU KUJIUA KWA KUJICHOMA NA KISU SHINGONI
KAULI ZITO YA RC CHALAMILA KWA WANANCHI, JITOKEZENI RAIS SAMIA,WAZIRI UMMY WATAJWA
Переглядів 118День тому
KAULI ZITO YA RC CHALAMILA KWA WANANCHI, JITOKEZENI RAIS SAMIA,WAZIRI UMMY WATAJWA
POLISI WAJENGEWA UWEZO UKAGUZI WA MITAMBO MIZITO
Переглядів 40День тому
POLISI WAJENGEWA UWEZO UKAGUZI WA MITAMBO MIZITO
WAZIRI AWESO ACHARUKA "NI MARUFUKU kumkatia Maji MWANANCHI siku za WIKIENDI"
Переглядів 47День тому
WAZIRI AWESO ACHARUKA "NI MARUFUKU kumkatia Maji MWANANCHI siku za WIKIENDI"

КОМЕНТАРІ

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 52 хвилини тому

    Hapana Mwana Sheria Hapo Ni Mtafuta kiki

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 54 хвилини тому

    Wewe Ni Wa Hovyo Saana

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 55 хвилин тому

    Wewe Ni Mmbwa Kabisa

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 57 хвилин тому

    Wewe Ni Ng'ombe Kabisa Mm Nakuona Ni Mpumbavu Kabisa

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Годину тому

    Daaaaah eh mungu

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 години тому

    Kajambe uko

  • @Magrethw-xp4ru
    @Magrethw-xp4ru День тому

    Mungu wetu jidhihirishe wazi wazi kwa hawa wapumbuvu

  • @MukamaKilly
    @MukamaKilly День тому

    Hii ndiyo chichiemuu bwana wanakulana wenyewe kwa wenyewe

  • @LucasRozi
    @LucasRozi День тому

    Tundulisi mimi nakupenda.ila kwasasa waachie vijana wagombee wewe tulia

  • @jumamrange
    @jumamrange 2 дні тому

    No voice

  • @FredyLinus
    @FredyLinus 2 дні тому

    5:18

  • @joramkasente3368
    @joramkasente3368 3 дні тому

    Nimeiangalia Tena August 2024

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r 3 дні тому

    Huyu mtu apewe ulinzi na hiyo dawa yake iingizwe kwenye utafiti huku yeye akiwa mgumduzi mkuu

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 3 дні тому

    Mzalendo wa kweli anajulikana tu; nilichogundua haya mamlaka ya kupeana kisa baba alikuwa flani ni kufanya uongozi wa nchi yetu kuwa wa kimila. Hopesless

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 3 дні тому

    Nkuba wewe ni mwanaccm,Nape ameshindwa kukuibia kura kwa sababu Mwabukusi alinyeshewa mvua ya kura hadi hata kura mlizoiba hazikufua dafu. Shame on you!

  • @mangobase
    @mangobase 3 дні тому

    Tundulisu were baki kupiga Debe uraisi ni kiatu kikubwa kwako.😂

  • @spelansiandanzi204
    @spelansiandanzi204 4 дні тому

    Jambo jema

  • @ChukuMrido
    @ChukuMrido 4 дні тому

    Safi

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 4 дні тому

    Huyu aliyeweka mziki sijui mmemtoa wapi stupid

  • @EdwardMashauri-e7e
    @EdwardMashauri-e7e 4 дні тому

    Hao watu safi sana. Lile zee naliende liliona nchi kama mali yake

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 5 днів тому

    RIP baba

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 5 днів тому

    DJ AACHE KUPIGA MUSIC HATUSIKII YANAYOSEMWA

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 5 днів тому

    Watu wengi wanamtukana nape na makamba kwenye comment mtateseka nabado

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 днів тому

    Uuuuwiiii! Ni ngumu japo mimi sio mkereketwa

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 5 днів тому

    Washezi wote hawa zote zilikuwa chafu mbona ulienda kuomba msamaha

  • @diananassari7864
    @diananassari7864 5 днів тому

    Mrudishieni pesa zake, then akate kibali

  • @user-ii7yw9ng5d
    @user-ii7yw9ng5d 5 днів тому

    Huyu mbunge ni mwongo!

  • @africanuspanga2356
    @africanuspanga2356 6 днів тому

    Kwann mlizikamata hizo za kitanzania zina ashiria uhalifu gan?

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u 6 днів тому

    Bila haibu utakuta kesho tu hii mijamaa itateuliwa tena siipendagi hii michalii

  • @KASSIMABDULLA-wm7bn
    @KASSIMABDULLA-wm7bn 6 днів тому

    Ndugu zangu watu Wana taka Madaraka Kwa nguvu

  • @KASSIMABDULLA-wm7bn
    @KASSIMABDULLA-wm7bn 6 днів тому

    Allah Ana sema , ukweli unapo jitokeza ubaya huji ficha

  • @jovankishamba9424
    @jovankishamba9424 6 днів тому

    Kama hamuibi kura weka Tume huru ya uchaguzi mgalagazwe asubuhi kweupe.

  • @mfaumeabbas88
    @mfaumeabbas88 6 днів тому

    Fungua Teen hiyo ila tunakuomba waliotoka Trc na kwenda Trl mafao Yao hatujalipwa baada yakutoka Trc na kwenda Trl mafao ya wafanyakazi yalihifadhiwa na chombo kiliopewa jina Rahako Cha ajabu RAHAKO Hawajatulipa wastaafu mafao yetu yakutoka Trc kwenda Trl mpaka Leo imerudi tena Trc.je haralali ? Kukaa na pesa zetu. Nakuomba Mkuu wa mkowa tufikishie suala hili kwa mama.wastaafu waidai shiloka lake la Trc.Mstaafu

  • @StewartKileva175
    @StewartKileva175 6 днів тому

    Njaa

  • @StewartKileva175
    @StewartKileva175 6 днів тому

    Jamani njaa zinatutesa hata shetani kumwita mungu il mpate KULA aibu hiyo

  • @StewartKileva175
    @StewartKileva175 6 днів тому

    Njaa Tupu

  • @blackstone-uv1vd
    @blackstone-uv1vd 6 днів тому

    Umeshapewa diner

  • @MkindwaDeus
    @MkindwaDeus 7 днів тому

    Yaaan hii nch imekuwa kama ya famili mungu anawaona

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 7 днів тому

    Waandishi wa habari wameandaliwa hii nchi ni majanga

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 7 днів тому

    Aibu kubwa

  • @MsumalAloyce
    @MsumalAloyce 7 днів тому

    Ila mama awe makini

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 8 днів тому

    Huyo shoga tu matako yake kwa kushughulikiwa watu hawakutaki bado mpaka uchanike matako

  • @elizaluchagula9787
    @elizaluchagula9787 8 днів тому

    Kimemkuta nini Ally Kamwe?

  • @adeodatuskakorozya9064
    @adeodatuskakorozya9064 8 днів тому

    Zito liko wapi sasa hapo?

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 8 днів тому

    Mpaka aibu dah

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 8 днів тому

    Walipo fanya mauwaji wakajuwa wari oba na jakaya watakuwa pamoja ila mungu aliwavusha daa hora reni jakaya na mzee wariomba kwa misimamo yenu

  • @skylevelmedia7581
    @skylevelmedia7581 8 днів тому

    Yeti macho lkn Mungu typo na tunaamini IPO siku mambo yatakuwa sawa

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 9 днів тому

    Source ya hii sound ninini???

  • @joharizahor6275
    @joharizahor6275 9 днів тому

    Shule ina wadudu mengi mnoo baadae ya walimu ni wajeuri wanatukana watoto wetu kuna walimu mwaka Jana alipiga mtoto akazimia darasani ba watoto wakaambiwa wasiseme

  • @joharizahor6275
    @joharizahor6275 9 днів тому

    Jamani hii shule walimu waziri na ni kweli wanafunzi wanasoma nje hao wa darasa la tango wanaingia asubuhi na asema nje